7Solomoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa,
8Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu, Yoramu akamzaa Uzia,
9Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia,
10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.