5Heri walio wapole, maana hao watairithi nchi.
6Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watatoshelezwa.
7Heri wenye huruma, maana hao watapata rehema.
8Heri walio na moyo safi, maana hao watamwona Mungu.
9Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.