Hesabu 1

Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.

Numbers 1:33 (UKJV) Those that were numbered of them, even of the tribe of Ephraim, were forty thousand and five hundred.

31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.

32Kutoka wana wa Yosefu: Kutoka wazao wa Efraimu: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

33Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.

34Kutoka wazao wa Manase: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

35Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.