31Kwa hiyo Mose na kuhani Eleazari wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Mose.
32Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
33ngʼombe 72,000,
34punda 61,000,
35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.