32Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
33ngʼombe 72,000,
34punda 61,000,
35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500