34punda 61,000,
35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500
37ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675;
38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72;