29Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona.
30Wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi.
31Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani.
32Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.
33Wakaondoka Hor-Hagidgadi na kupiga kambi huko Yotbatha.