18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi.
19Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune, kutoka kabila la Yuda;
20Shemueli mwana wa Amihudi, kutoka kabila la Simeoni;
21Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini;
22Buki mwana wa Yogli, kiongozi kutoka kabila la Dani;