19Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune, kutoka kabila la Yuda;
20Shemueli mwana wa Amihudi, kutoka kabila la Simeoni;
21Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini;
22Buki mwana wa Yogli, kiongozi kutoka kabila la Dani;
23Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu;