21Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini;
22Buki mwana wa Yogli, kiongozi kutoka kabila la Dani;
23Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu;
24Kemueli mwana wa Shiftani, kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu;
25Elisafani mwana wa Parnaki, kiongozi kutoka kabila la Zabuloni;