Mithali 1

Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

Proverbs 1:8 (UKJV) My son, hear the instruction of your father, and forsake not the law of your mother:

6kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.

7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, na mkufu wa kuipamba shingo yako.

10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.