4huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana;
5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo;
6kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.
7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.