Mithali 14

Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote.

Proverbs 14:34 (UKJV) Righteousness exalts a nation: but sin is a reproach to any people.

32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio.

33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu.

34Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote.

35Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.