Mithali 23

Baba yako na mama yako na wafurahi, mama aliyekuzaa na ashangilie!

Proverbs 23:25 (UKJV) Your father and your mother shall be glad, and she that bare you shall rejoice.

23Nunua kweli wala usiiuze, pata hekima, adabu na ufahamu.

24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia.

25Baba yako na mama yako na wafurahi, mama aliyekuzaa na ashangilie!

26Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,

27kwa maana kahaba ni shimo refu na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.