1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, bali zitunze amri zangu moyoni mwako,
2kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako na kukuletea mafanikio.
3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako.