24Epusha kinywa chako na ukaidi; weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako.
25Macho yako na yatazame mbele, kaza macho yako moja kwa moja mbele yako.
26Sawazisha mapito ya miguu yako na njia zako zote ziwe zimethibitika.
27Usigeuke kulia wala kushoto; epusha mguu wako na ubaya.