28Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.
29Unapoficha uso wako, wanapata hofu, unapoondoa pumzi yao, wanakufa na kurudi mavumbini.
30Unapopeleka Roho wako, wanaumbwa, nawe huufanya upya uso wa dunia.
31Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na azifurahie kazi zake:
32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka, aigusaye milima, nayo ikatoa moshi.