Zaburi 104

Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana.

Psalm 104:34 (UKJV) My meditation of him shall be sweet: I will be glad in the LORD.

32yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka, aigusaye milima, nayo ikatoa moshi.

33Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.

34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Bwana.

35Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu Bwana. Msifuni Bwana.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.