40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia.
41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo.
42Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
43Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya, na atafakari upendo mkuu wa Bwana.