Zaburi 109

Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

Psalm 109:3 (UKJV) They compassed me about also with words of hatred; and fought against me without a cause.

1Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya,

2kwa maana watu waovu na wadanganyifu wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; wasema dhidi yangu kwa ndimi za udanganyifu.

3Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea.

5Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.