1Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni,
2Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake.
3Bahari ilitazama ikakimbia, Yordani ulirudi nyuma,
4milima ilirukaruka kama kondoo dume, vilima kama wana-kondoo.