Zaburi 115

Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

Psalm 115:9 (UKJV) O Israel, trust you in the LORD: he is their help and their shield.

7zina mikono, lakini haziwezi kupapasa, zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala koo zao haziwezi kutoa sauti.

8Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.

9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.