8Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.
9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
12Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni,