10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
12Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni,
13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa.
14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.