11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
12Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni,
13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa.
14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia.