Zaburi 115

Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia.

Psalm 115:15 (UKJV) All of you are blessed of the LORD which made heaven and earth.

13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa.

14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.

15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia.

16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, lakini dunia amempa mwanadamu.

17Sio wafu wanaomsifu Bwana, wale washukao mahali pa kimya,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.