Zaburi 134

Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Psalm 134:3 (UKJV) The LORD that made heaven and earth bless you out of Zion.

1Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana.

2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana.

3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.