12akatoa nchi yao kuwa urithi, urithi kwa watu wake Israeli.
13Ee Bwana, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee Bwana, kwa vizazi vyote.
14Maana Bwana atawathibitisha watu wake, na kuwahurumia watumishi wake.
15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
16Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona;