Zaburi 135

ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; ninyi mnaomcha, msifuni Bwana.

Psalm 135:20 (UKJV) Bless the LORD, O house of Levi: all of you that fear the LORD, bless the LORD.

18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.

19Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana; ee nyumba ya Aroni, msifuni Bwana;

20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; ninyi mnaomcha, msifuni Bwana.

21Msifuni Bwana kutoka Sayuni, msifuni yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni Bwana.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.