16Kwake yeye aliyewaongoza watu wake katika jangwa, Fadhili zake zadumu milele.
17Ambaye aliwapiga wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.
18Naye aliwaua wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.
19Sihoni mfalme wa Waamori, Fadhili zake zadumu milele.
20Ogu mfalme wa Bashani, Fadhili zake zadumu milele.