Zaburi 45

Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.

Psalm 45:16 (UKJV) Instead of your fathers shall be your children, whom you may make princes in all the earth.

14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako.

15Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme.

16Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.

17Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.