17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.
18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,
19atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.
20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.