Zaburi 74

Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao.

Psalm 74:6 (UKJV) But now they break down the carved work thereof at once with axes and hammers.

4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, wanaweka bendera zao kama alama.

5Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka cha miti.

6Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao.

7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, wakayanajisi makao ya Jina lako.

8Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali ambapo Mungu aliabudiwa katika nchi.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.