Zaburi 76

Huvunja roho za watawala; anaogopwa na wafalme wa dunia.

Psalm 76:12 (UKJV) He shall cut off the spirit of princes: he is terrible to the kings of the earth.

10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.

11Wekeni nadhiri kwa Bwana Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa.

12Huvunja roho za watawala; anaogopwa na wafalme wa dunia.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.