Zaburi 78

akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni.

Psalm 78:24 (UKJV) And had rained down manna upon them to eat, and had given them of the corn of heaven.

22kwa kuwa hawakumwamini Mungu, wala kuutumainia ukombozi wake.

23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu na kufungua milango ya mbingu,

24akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni.

25Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.

26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.