Zaburi 80

Matawi yake yalienea mpaka Baharini, machipukizi yake mpaka kwenye Mto.

Psalm 80:11 (UKJV) She sent out her boughs unto the sea, and her branches unto the river.

9Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi.

10Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa.

11Matawi yake yalienea mpaka Baharini, machipukizi yake mpaka kwenye Mto.

12Mbona umebomoa kuta zake ili wote wapitao karibu wazichume zabibu zake?

13Nguruwe mwitu wanauharibu na wanyama wa kondeni hujilisha humo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.