16Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia.
17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
18Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe, nasi tutaliitia jina lako.
19Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe; utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.