43Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita.
44Umeikomesha fahari yake, na kukiangusha kiti chake cha enzi.
45Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu.
46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini?
47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!