13Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,
14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,
15Wahivi, Waariki, Wasini,
16Waarvadi, Wasemari na Wahamathi.
17Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.