17Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
18Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.
19Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
20Wana wa Yoktani walikuwa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
21Hadoramu, Uzali, Dikla,