19Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
20Wana wa Yoktani walikuwa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
21Hadoramu, Uzali, Dikla,
22Obali, Abimaeli, Sheba,
23Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani.