1 Nyakati 2

Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,

1 Chronicles 2:11 (UKJV) And Nahshon brings forth Salma, and Salma brings forth Boaz,

9Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.

10Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.

11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,

12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.

13Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.