7Mwana wa Karmi alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu.
8Mwana wa Ethani alikuwa: Azariya.
9Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.
10Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,