16Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.
17Wazao wa Eliezeri: Rehabia alikuwa wa kwanza. Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.
18Wana wa Ishari: Shelomithi alikuwa wa kwanza.
19Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu.
20Wana wa Uzieli walikuwa: Mika wa kwanza na Ishia wa pili.