15ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi,
16ya kumi na tisa Pethahia, ya ishirini Yehezkeli,
17ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli,
18ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia.
19Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru.