14Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki.
15Yehosadaki alihamishwa wakati Bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza.
16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.
17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei.
18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.