16Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.
17Haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni: Libni na Shimei.
18Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
19Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:
20Wazao wa Gershoni: Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, Yahathi akamzaa Zima,