1 Nyakati 6

mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa,

1 Chronicles 6:34 (UKJV) The son of Elkanah, the son of Jeroham, the son of Eliel, the son of Toah,

32Walihudumu kwa kuimba mbele ya Maskani, Hema la Kukutania, mpaka hapo Mfalme Solomoni alipojenga Hekalu la Bwana huko Yerusalemu. Walitimiza wajibu wao kulingana na taratibu walizokuwa wamewekewa.

33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: Hemani, mpiga kinanda, alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli,

34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa,

35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai,

36mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli, mwana wa Azaria, mwana wa Sefania,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.