1 Nyakati 6

na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,

1 Chronicles 6:39 (UKJV) And his brother Asaph, who stood on his right hand, even Asaph the son of Berachiah, the son of Shimea,

37mwana wa Tahathi, mwana wa Asiri, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora,

38mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, mwana wa Israeli;

39na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,

40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya, mwana wa Malkiya,

41mwana wa Ethni, mwana wa Zera, mwana wa Adaya,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.