39na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya, mwana wa Malkiya,
41mwana wa Ethni, mwana wa Zera, mwana wa Adaya,
42mwana wa Ethani, mwana wa Zima, mwana wa Shimei,
43mwana wa Yahathi, mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi.